Exodus 35:29

29 aWaisraeli wote waume kwa wake waliokuwa wanapenda wakaleta mbele za Bwana kwa hiari yao wenyewe sadaka kwa ajili ya kazi yote ya Bwana aliyokuwa amewaagiza kuifanya kupitia kwa Musa.

Bezaleli Na Oholiabu

(Kutoka 31:1-11)

Copyright information for SwhKC